TANGAZO


Saturday, May 5, 2012

Rais Shein azindua kifaa cha Zantel -3G

 Viongozi na wadau mbalimbali wa kampuni ya Simu za Mkononi ya Zanztel, wakiwa katika uzinduzi wa kifaa kipya cha Mtandao wa Zantel -3G, uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, Ukumbi wa Zanzibar
Beash Resort leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)


 Viongozi na wadau mbalimbali wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel, wakiwa katika uzinduzi wa Kifaa kipya cha Mtandao wa Zantel cha  -3G, uzinduzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, Zanzibar
Beash Resort leo. 


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akitoa hutuba yake, wakati wa uzinduzi wa kifaa kipya cha Mtandao wa Zantel -3G, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Zanzibar, Beash Resort na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali
wanaotumia Mtandao wa kampuni wa simu za Mkononi za Zantel.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel Zanzibar (CEO), Ali Bin Jarsh, wakibonyeza kitufe, ikiwa ni katika uzinduzi wa kifaa cha mtandao mpya wa Zantel -3G katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort leo.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar (CEO), Ali Bin Jarsh, wakibonyeza kitufe ikiwa ni  uzinduzi wa kifaa hicho.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia jinsi ya kifaa hicho kinavyofanya kazi yake baada ya kukizindua leo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel hapa Zanzibar (CEO),  Ali Bin Jarsh.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel hapa Zanzibar (CEO), Ali Bin Jarsh, baada ya kuzindua kifaa  cha mtandao mpya wa Zanztel-3G katika ukumbi wa
Zanzibar Bech Resort leo.

No comments:

Post a Comment