TANGAZO


Thursday, May 3, 2012

Rais Shein afanya ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na viongozi wa Chama Wilaya ya Kaskazini A, alipofika kuweka  jiwe la msingi la Tawi la CCM - Kibuyuni Jimbo la Mkwajuni, Mkoa wa Kaskazini Unguja, alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi la Tawi la CCM - Kibuyuni, Jimbo la Mkwajuni, Mkoa wa Kaskazini Unguja, alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa huo leo. 

No comments:

Post a Comment