TANGAZO


Thursday, May 3, 2012

Balozi wa Nigeria nchini, amtembelea Katibu Mkuu wa CCM, Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama (kulia), akizungumza na Balozi wa Nigeria nchini, Ishaya Samaila Majanbu, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Bashir Nkoromo)


Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia), akiagana na Balozi wa Nigeria nchini, Ishaya Samaila Majanbu, baada ya kumaliza mazungumzo yao, Ofisini kwake, Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment