Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli, akitoa ufafanuzi wa mradi wa mabasi yaendao mwendo kasi (DART), Dar es Salaam jana kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), alipotembelea na kuangalia maendeleo ya mradi huo ambao utagharimu shilingi bil. 288 za Kitanzania, ambazo zitahusisha pamoja na ujenzi wa vituo vya mabasi. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
waziri Magufuli akikagua upanuzi wa barabara ya Mwenge- Tegeta. Katikati ni Katibu Mkuu Balozi Herbert Mrango na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza.
Baadhi ya sehemu ya ujenzi wa daraja huko mbezi- (mwenge- Tegeta).
Magufuli akikagua ujenzi wa Mwenge- Tabata (kush) Kaimu RC DSM Mwantumu Mahiza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanroads Patrick Mfugale akitoa taarifa ya mradi wa DART (kati) Mkurgenzi mtendaji wa DART cosmas Tak.
Mkurugenzi Mtendaji wa mradi wa mabasi yaendayo mwendokasi jijini Dar es Salaam (DART), Cosmas Takule, akitoa maelezo ya mradi huo jijini Dar es Salaam, kwa Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli, wakati wa ziara hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TANROADS, Mhandisi Patrick Mfugale, akitoa maelezo ya mradi wa DART, jijini Dar es Salaam jana, Mei 2, 2012 kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. John Magufuli (wa pili kushoto), pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (kushoto), wakati wa ziara hiyo. Mradi huo ukikamilika utasaidia kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa jiji.
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli (mwenye koti jeusi), akikagua upanuzi wa barabara ya Mwenge - Tegeta, jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana.

+ni+KM+Balozi+Herbert+Mrango+na+(mwanamke+)+Kaimu+RC+DSM.jpg)
+Mkurgenzi+mtendaji+wa+DART+cosmas+Tak.jpg)
+Cosmas+Takule+aktoa+maelezo+kwa+waziri.jpg)
No comments:
Post a Comment