TANGAZO


Friday, May 11, 2012

Naibu Waziri Makamba, afungua mafunzo ya ukuzaji wa mifumo ya simu za Nokia

 
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi naTeknolojia, January Makamba, akifungua mafunzo ya kutengeneza mifumo ya ‘Software’ kwenye simu za mkononi za Nokia, yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameandaliwa na Dar Teknohama Business Incubator kwa kushirikiana na Nokia pamoja na Tume ya Sayansi na Teknoloji.

Balozi wa Finland nchini, Sinikka Antilla akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.

Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo hayo.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia kwa vitendo mafunzo yaliyokuwa yakitolewa

No comments:

Post a Comment