TANGAZO


Saturday, May 26, 2012

ICD yazindua mtandao wa taarifa za walemavu



 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Habari Kuhusu Ulemavu nchini Tanzania (ICD), Fredrick Mkatambo, akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi  wa mtandao wa habari zinazohusu walemavu, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kamishna wa Wizara ya Afya Ustawi na Ustawi wa Jamii, Danford Makala aliyekuwa mgeni.

 Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa ICD, wakiwa katika hafla ya uzinduzi huo

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa ICD mara baada ya uzinduzi.

No comments:

Post a Comment