Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor, akimpongeza Monica Joseph mmoja wa wateja wao waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D, uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Monica alishinda simu ya mkononi.
Meneja Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo, akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D, uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor na kushoto ni mmoja wa wateja wao, Monica Joseph aliyehudhuria uzinduzi
huo na kuibuka mshindi wa zawadi ya simu iliyotolewa na Airtel kunogesha uzinduzi huo.
huo na kuibuka mshindi wa zawadi ya simu iliyotolewa na Airtel kunogesha uzinduzi huo.
DJ Fetty wa Clouds Radio, naye akipokea zawadi yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola, wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D, uliodhaminiwa na Airtel, ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje (kulia), akitoa zawadi kwa Monica Joseph mmoja wa wateja wao waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D, uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam.
Mbunifu wa Kimataifa, Flaviana Matata (kushoto), akipozi kwa picha na Hilda Nakajumo, Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, wakati wa uzinduzi wa filamu ya Men in Black 3 in 3D, jijini Dar es Salaam jana. Uzinduzi ulidhaminiwa na Airtel.
Ofisa Mauzo wa Airtel, Babra Ernest (wa pili kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D, uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. (Picha kwa hisani ya Airtel)
No comments:
Post a Comment