TANGAZO


Monday, May 28, 2012

Dk. Shein akutana na Uongozi Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na uongozi wa  Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu mjini Zanzibar jana. Kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad na wa pili kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi
Dk. Abdulhamid Yahya Mzee. 


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu Mjini Zanzibar jana.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu mjini Zanzibar jana. (Picha  na Ramadhan
Othman, IKULU)

No comments:

Post a Comment