TANGAZO


Monday, May 28, 2012

Dk. Bilal akutana na Balozi wa Iran kwa mazungumzo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam leo, Mei 28, 2012 kwa mazungumzo. 


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi kwa ajili ya mazungumzo, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam leo, kwa mazungumzo. 


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Balozi wa Iran nchini Tanzania,  Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Mei 28, 2012 kwa mazungumzo. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)

No comments:

Post a Comment