TANGAZO


Monday, May 28, 2012

Rais Kikwete, azungumza na Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Makatibu Tawala kwenye mafuzo yao, Dodoma

 Rais Jakaya Kikwete, akitoa hotuba yake wakati wa mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala na Wakuu wa Wilaya yanayoendelea katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma leo. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na kulia ni Waziri wa Nchi TAMISEMI, Hawa Ghasia. 


 Rais Jakaya Kikwete, akitoa hotuba yake wakati wa mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala na Wakuu wa Wilaya, yanayoendelea katika ukumbi wa St. Gaspar, mjini Dodoma leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.


Rais Jakaya Kikwete, akitoa hotuba yake wakati wa mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala na Wakuu wa Wilaya yanayoendelea katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment