TANGAZO


Tuesday, May 29, 2012

Dk. Bilal akutana na Waziri wa Maendeleo wa Finland, Ikulu Dar es Salaam


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wajumbe walioongozana na Waziri wa Maendeleo wa Finland, Heidi Hautala (wa pili kulia), baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliyofanyika ofisini kwa Makamu, Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi, Mei 29, 2012. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wa Waziri wa Maendeleo wa  Finland, Heidi Hautala (wa pili kushoto), aliyeongozana na ujumbe wake wakati alipofika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipiga picha ya kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa Finland pamoja na ujumbe wake,  mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao ofisini kwake,  Ikulu jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
 

No comments:

Post a Comment