TANGAZO


Tuesday, May 29, 2012

CHADEMA yaiteka Mtwara, wananchi wafurika Uwanja wa Mashujaa

 

  Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Godbles Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Sangara, Uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara jana. (Picha na Joseph Senga).

Sehemu ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake, wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakati wa mkutano wa hadhara wa Oparesheni Sangara, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini humo jana.

No comments:

Post a Comment