TANGAZO


Tuesday, May 29, 2012

Dk. Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza na Wa Pili, Ikulu mjini Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Makamo wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad. (Picha  na Ramadhan
Othman, IKULU)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu Mjini Zanzibar leo. 

 Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, wakiwa katika mkutano chini ya Uenyekiti wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. Mkutano huo, ulikuwa unahusu masuala mbalimbali ya kiutendaji na umefanyika katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu Mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Makamo wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.


Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakiwa katika mkutano chini ya Uwenyekiti wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. Mkutano huo ulikuwa unahusu masuala mbalimbali ya kiutendaji na umefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment