TANGAZO


Thursday, May 31, 2012

Dk. Bilal afunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia), akiteta jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati alipofika katika Ukumbi wa Mtakatifu Gaspar mjini Dodoma jana Mei 30, kufunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, yaliyomalizika mjini Dodoma jana. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza, wakati alipokuwa akiyafunga  Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, yaliyomalizika mjini Dodoma jana Mei 30, 2012.  


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akiyafunga Mafunzo hayo mjini Dodoma jana. 


Baadhi wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, waliohudhuria mafunzo hayo, wakimsikiliza mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiyakufunga mafunzo yao, jana Mei 30, 2012, mjini Dodoma. 

Baadhi wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala  na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara,   wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya kufunga mafunzo hayo jana Mei 30, 2012 mjini Dodoma. 


Baadhi wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, waliohudhuria mafunzo hayo wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiyafunga mafunzo yao jana Mei 30, 2012 mjini Dodoma. 

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia), akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akiondoka  katika Ukumbi wa Mtakatifu Gaspar, mjini Dodoma jana Mei 30, mara baada ya  kuyafunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, yaliyomalizika mjini Dodoma jana.


No comments:

Post a Comment