TANGAZO


Sunday, May 27, 2012

Airtel na Promosheni ya 'Jiunge na Super 5', mkoani Dodoma


Wasanii wa kikundi cha Kinoko cha Dar es Salaam, wakilishambulia jukwaa wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5, katika Viwanja vya Jamhuri, mkoani Dodoma leo. Uzinduzi rasmi ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakihamia Airtel, wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5, mkoani humo leo.

Mkazi wa Dodoma, Queen Jackson akishindana kucheza taarab wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 mkoani humo leo.

Mteja (kushoto), akikabidhiwa zawadi yake ya simu baada ya zawadi mbalimbali kutolewa wakati wa  promosheni hiyo leo. 

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5, mkoani Dodoma wakishangilia kwa nguvu burudani iliyokuwa ikitolewa kwenye promosheni hiyo leo

No comments:

Post a Comment