TANGAZO


Thursday, April 12, 2012

Washindi wa Airtel, Nani Mkali wapewa zawadi zao

Afisa  Uhusiano wa Kampuni ya Airtel, Dangio Kaniki (kulia), akimkabithi kitita cha shilingi milioni moja , Camill  Mayo, baada ya kuibuka mshinidi wa siku na kujishindia fedha hizo,  katika promosheni ya Nani Mkali, inayoendelea na kuwapatia wateja wa Airtel nafasi ya kuibuka kuwa washindi. (Picha na Mpigapicha wetu)




Afisa  Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki akimkabithi kitita cha shilingi milioni moja, Edward Mnewa, baada ya kuibuka kuwa mshinidi wa siku na  kujishindia zawadi hiyo, katika promosheni ya Nani Mkali, inayoendelea na kuwapatia wateja wa Airtel nafasi ya kuibuka
kuwa washindi.


Mshindi wa pili wa milioni thelathini wa promosheni ya Nani Mkali, Steven Chapile, kutoka Arusha, akikabidhiwa kitita hicho na Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki, mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa pili wa mwenzi wa promosheni ya Nani Mkali, inayoendelea. 




Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi wa promosheni ya nani Mkali, mara baada ya kuwakabidhi fedha zao taslimu, katika hafla, iliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Airtel leo. Wa kwanza
kulia ni Camil Mayo na Edgar Mnewa, waliojishindia milioni moja kila moja na kushoto ni Steven Chapile aliyejishindia shilingi milioni 30.

No comments:

Post a Comment