TANGAZO


Thursday, April 19, 2012

Usalama Barabarani watoa mafunzo kwa wanafunzi Zanzibar

Sajent Ali Kassim wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Zanzibar akitoa elimu juu ya matumizi salama ya barabara kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiembesamaki, mjini Zanzibar leo, wakati wa mpango maalum wa kupunguza ajali kwa wanafunzi visiwani humo. (Picha zote na Insp. Mohammed Mhina, Afisa Habari Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar)






Koplo Othman Daima wa Kikosi cha Usalama Barabara Zanzibar, akitoa elimu ya matumizi salama ya barabara kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiembesamaki mjini Zanzibar leo. 




No comments:

Post a Comment