TANGAZO


Monday, April 16, 2012

Tigo na Ngorongoro Marathon



Wanariadha wakianza kutimua mbio za Ngorongoro Marathon za kilometa 21, kuanzia lango kuu la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), zilizofanyika wilayani Karatu juzi. Mashindano hayo yalikuwa na lengo la kujenga uelewa kwa wananchi, kuhusu kupiga vita ugonjwa wa malaria na yalidhaminiwa na ampuni ya Simu ya Tigo. (Picha na mpigapicha wetu)

 

.Mshindi wa kwanza kwa upande wa wasichana, Jackline Sakilu, akimaliza mbio kwa kutumia muda wa saa 1:16:01 katika mashindano ya Ngorongoro Marathon, yaliyofanyika wilayani Karatu juzi, yakiwa na lengo la kupiga vita ugonjwa wa malaria. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya simu ya Tigo.

No comments:

Post a Comment