TANGAZO


Monday, April 23, 2012

Simba yaiadhibu Moro United mabao 3-0, yanyakua Ubingwa

 Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Moro United wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Simba ilishinda mabao 3-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk)


 Emmanuel Okwi, akimtoka Meshack Abel wa Moro United katika mchezo huo.




Meshack Abel (kushoto) wa Moro United, akiondoa hatari langoni mwao, wakati wa mchezo huo leo jioni, 
huku Gervas Kago (kulia) wa Simba, akiuangalia pamoja na Salum Kanoni (katikati), akiwa tayari kutoa msaada.
.


 Mchezaji Patrick Mafisango, akifurahia kwa kuonesha vidole baada ya kuifungia timu yake ya Simba, bao la kwanza kwa njia ya penalti, huku Emmanuel Okwi (kushoto) na Gervas Kago, wakimpongeza kwa bao hilo.






Haruna Moshi wa Simba (kulia), akiwania mpira kuupiga kichwa na Omar Gae wa Moro United, wakati wa mchezo huo.




Meshack Abel wa Moro United, akiutoa mpira miguuni mwa Emmanuel Okwi wa Simba (kulia), huku Erick Mawala wa Moro, akiwa tayari kutoa msaada. 




Salum Kanoni wa Moro United (kulia), akiondoa mpira mbele ya Emmanuel Okwi wa Simba katika mchezo huo, waliolala kwa mabao 3-0 na hivyo Simba kutawazwa rasmi kuwa bingwa wa Ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment