TANGAZO


Saturday, April 28, 2012

SIDO yatoa mafunzo kwa wajasiriamali jijini Dar es Salaam


Meneja wa SIDO, Hamuel Meena (katikati), akifafanua jambo katika ufungaji wa mafunzo ya wajasiliamali jijini Dar es Salaam leo. Wa kwanza kushoto Ofisa Mradi wa Care Intenetional, Eunice Mmbando, wa pili ni ofisa wa SIDO, George Buchafue, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (wa pili kulia) na Meneja wa Care International, Vedastus Mwita. (Picha zote na Philemon Solomon wa FULLSHANGWE)

Wajasiliamali waliohitimu mafunzo hayo, wakiwa katika picha ya pamoja, mara baada ya kukabidhiwa vyeti vyao katika hafla hiyo.


 Baadhi ya wahitimu, wakifuatilia kwa karibu mada mbalimbali, zilizokuwa zikitolewa katika mafunzo yao hayo.


Wahitimu wakiwa kwenye mafunzo ya Ujasiriamali yaliyokuwa yakitolewa na SIDO.

No comments:

Post a Comment