waandishi wa habari, ofisini kwake, Dar es salaam jana, kuhusu hali ya usafi wa jiji, ambayo imekuwa hairidhishi kwamuda mrefu, hali aliyosema kuwa imesababishwa na wananchi kutokana na kutokuzingatia kanuni, sheria na taratibu za afya na usafi wa mazingira.
(Picha na Philemon Solomon wa FULLSHANGWE)
(Picha na Philemon Solomon wa FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment