TANGAZO


Friday, April 13, 2012

Semina ya Hakimiliki kwa Polisi Zanzibar

Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, akifungua warsha ya siku 2 mjini Zanzibar jana, inayohusu mafunzo ya kuinua uelewa wa Jeshi la Polisi juu ya dhana na sheria ya hakimiliki Zanzibar, warsha hiyo inawashirikisha maofisa 50 wa jeshi hilo na imeandaliwa na Idara ya Hakimiliki Zanzibar. Inafanyika Chuo cha Polisi, Ziwani mjini Zanzibar. (Picha na Martin Kabemba)

Washiriki wa Warsha ya hakimiliki Zanzibar, wakimsikiliza Kamishna wa Polisi, Mussa Ali Mussa wakati wa ufunguzi jana.

No comments:

Post a Comment