Balozi wa China nchini ajitambulisha kwa Rais Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa China nchini, Lou Youging, alipofika kujitambulisha, Ikulu mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa China nchini Tanzania, Lou Youging, mara baada ya mazungumzo yao, alipofika kujitambulisha kwa Rais, Ikulu mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment