Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Vicky Kamata, wakiwa kwenye mnara wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu, marehemu Edward Moringe Sokoine, Morogoro, sehemu alipofariki kutokana na ajali ya gari. (Picha na Bashir Nkoromo)
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi, Vicky Kamata, akiwa kwenye mnara huo, akiangalia kumbukumbu za maadishi yalioandikwa kwenye mnara.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisoma kumbukumbu kwenye mnara huo, walipotembelea leo.




No comments:
Post a Comment