Wageni waalikwa katika kongamano la Jukwaa la Mtandao wa Kibiashara Tanzania, wakionja kinywaji cha Johhnie Walker Blue Label, wakati wa kongamano hilo, lililofanyika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam jana na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kupitia kinwaji cha JOHNNIE WALIKER. (Picha na Mpiga picha wetu)
Washiriki wa Kongamano la Jukwaa la Mtandao wa Kibishara, kutoka kushoto, Ibrahim Mchindo wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Godfrey Malekamo kutoka CMSA na Aocel Dorham wa GIZ wakiwa katika kongamano hilo.
Mc Dennis Sebo, akionesha chupa yenye kinywaji cha Johhnie Walker Blue Label, wakati wa kongamano hilo, hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe kutoka taasisi mbalimbali zilizoshiriki kongamano la Jukwaa la Mtandao wa Kibiashara Tanzania, Dar es Salaam jana. Kongamano hilo lilidhaminiwa na SBL kupitia kinywaji cha JOHNNIE WALIKER.
No comments:
Post a Comment