TANGAZO


Friday, April 20, 2012

Katibu Mkuu Kiongozi akutana na Kamati za Bunge


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), John Cheyo, wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Zainabu Vulu. Balozi Sefua alifanya ziara hiyo, kwa lengo la kujitambulisha kwa Wabunge. (Picha zote na Owen Mwandumbya)


  

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia), akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma  (POAC), Deo Filikunjombe, wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni mjini Dodoma leo. Katikati  ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Zitto Kabwe. 





 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia), akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Agustino Mrema, wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma leo. Kushoto  ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Idd Azzan.



Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), John Cheyo, wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma leo. 









Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC), Agustino Mrema, wakati wa ziara hiyo.






Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma  (POAC, Zitto Kabwe wakati wa ziara hiyo ya kikazi Bungeni mjini Dodoma leo. 





 Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah (kushoto), akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, vitabu vya orodha ya Wabunge pamoja na kanuni za kudumu za Bunge, wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni, mjini Dodoma leo.



Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu wa Bunge, bungeni mjini Dodoma leo, wakati alipofanya ziara ya kikazi leo, kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali wa Bunge na Wabunge.





Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, wakati wa  ziara hiyo ya kikazi Bungeni Dodoma. Kushoto ni Msaidizi wa Katibu wa Bunge, Emmanuel Mpanda na Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, John Joel.

No comments:

Post a Comment