TANGAZO


Sunday, April 22, 2012

Rais Shein awatembelea Wazee, Sebleni mjini Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea kisima cha maji katika nyumba za wazee, Sebleni mjini Zanzibar leo katika ziara maalum ya kikazi  akifuatana na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban (kushoto) pamoja na Viongozi wengine, kuona maendeleo ya utekelezaji wa kazi hiyo. (PichanaRamadhanOthman, Ikulu)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban (kushoto), kuhusu utaratibu wa kuwapatia huduma ya maji wazee, wanaoishi katika nyumba za wazee Seblenijana, mjini Zanzibar, alipofanya ziara maalum ya kutembelea sehemu hiyo leo.

No comments:

Post a Comment