Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Mwambe, Mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama leo kisiwani humo. (Ramadhan Othman, Pemba)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kadi ya uanachama wa CCM Zulegha Yussuf Simai, baada ya kujiunga na chama hicho, katika hafla ilifanyika leo wakati wa mkutano wa kuimarisha Chama jimbo la Mwambe, Mkoa wa Kusini Pemba. Jumla ya wanachama 189, walikabidhiwa kadi zao.
Mmoja wa wanachama hao wapya, akikabidhiwa kadi yake ya CCM, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein katika mkutano huo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kadi ya uanachama wa UVCCM, Ali Hassan Makame, baada ya kujiunga na Jumuiya hiyo, katika hafla iliyofanyika leo wakati wa mkutano wa kuimarisha Chama jimboni humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Jumuiya ya UWT ya CCM, Faida Mbarouk Juma, baada ya kujiunga na jumuiya hiyo, wakati wa hafla iliyofanyika ya kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Saleh Salum Saleh, baada ya kujiunga na jumuiya hiyo, wakati wa hafla
kuimarisha Chama jimbo la Mwambe, Mkoa wa Kusini Pemba.
Wanachama wapya wa CCM wa Jumuiya tofauti za Chama hicho, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambay pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Jimbo la Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba.
Mwanachama mpya wa CCM, aliyetoka Chama cha Wananchi (CUF), Juma Khamis Omar, akijitambulisha kwa wanachama wa CCM, Jimbo la Mwambe Kusini Pemba, wakati wa Mkutano wa kuimarisha Chama hicho, ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambay pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, alihutibia katika mkutano huo.
Baadhi ya Viongozi wa Chama na wananchi, wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambay pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM, Jimbo la Mwambe, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, wakati ziara ya kuimarisha Chama mkoani humo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambay pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Jimbo la Mwambe, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya hiyo.
No comments:
Post a Comment