TANGAZO


Friday, April 20, 2012

Rais Kikwete akutana na wafanyabiashara wa Brazil, akihitimisha ziara yake

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa kwenye mazungumzo na viongozi wa  Chama cha Wafanyabiashara na Wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil, alipokutana nao katika siku ya mwisho ya  ziara yake ya kikazi, jijini Sao Paulo, Brazil April 19, 2012. Wa pili kulia ni Makamu wa Rais wa Chama hicho, Joao Guilherme Sabino Ometto, Mkurugenzi wa chama hicho, Thomaz Zanotto (kushoto) na kulia ni Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa ZanzibarHaroun Ali Suleiman. (Picha na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa kwenye mazungumzo na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara na Wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil, alipokutana nao katika siku ya mwisho ya  ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo April 19, 2012.

No comments:

Post a Comment