Monday, April 30, 2012
Rais Shein akutana na Mabalozi wa Iran, Saud Arabia nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Hani Abdalla Mohammed Mu'minah, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kujitambulisha kwa Rais. (Picha na Ramadhan Othman, IKulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Hani Abdalla Mohammed Mu'minah, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi. aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





No comments:
Post a Comment