TANGAZO


Monday, April 30, 2012

Serengeti Breweries yaandaa tafrija kwa wateja wake

Meneja wa Smirnoff, Benjamin  Mariki (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya T-shirt ya Smirnoff kwa mmoja wa washiriki wa tafrija fupi (cocktail party), iliyoandaliwa na kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), kupitia kinywaji hicho, jijini Dar mwishoni mwa wiki. (Picha na Mpigapicha wetu)




Meneja wa Smirnoff, Benjamin  Mariki (kulia), akikabidhi zawadi ya T-shirt ya Smirnoff kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Ericsson hapa nchini katika tafrija fupi (cocktail party), iliyoandaliwa na Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), kupitia kinywaji hicho, jijini Dar mwishoni mwa wiki.





Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika tafrija fupi (cocktail party), iliyoandaliwa na Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), mwishoni mwa wiki, wakifuatilia kwa umakini hatua mbalimbali za namna ya kuchanganya kinywaji aina ya Smirnoff, ili kutengeneza cocktail kama ilivyokuwa ikielekezwa na Meneja wa Spiriti wa Kampuni hiyo, Emilian Rwejuna (wa pili kulia), wakati wa tafrija hiyo, mwishoni mwa wiki.



Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika tafrija fupi (cocktail party), iliyoandaliwa na Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), kupitia kinywaji cha Smirnoff kinachoingizwa na kusambazwa na kampuni hiyo hapa nchini.

No comments:

Post a Comment