Thursday, April 19, 2012
Rais Shein aanza ziara ya Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea katika Shule ya Ukutini, Kusini Pemba, akianza ziara ya Mkoa huo leo. (Picha na Ramadhan Othman, Pemba)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea maeneo ya Shule ya Ukutini, baada ya kuzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea shuleni hapo leo, wakati wa ziara yake ya Mkoa wa Kusini Pemba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment