TANGAZO


Friday, April 13, 2012

Rais Kikwete awaapisha Mwenyekiti, Wajumbe Tume ya Mabadiliko ya Katiba



Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Muhidin Sufiani, OMR)



Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustino Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 



Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla hiyo, Ikulu jijini.



Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha,  Abdallah Ali Saleh, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini.



Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mbunge wa Viti Maalum, Al-shymaa Kwegiyr,  kuwa Mjumbe wa Tume hiyo.



Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Edmund Sengondo Mvungi,  kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.




Mjumbe wa kamati hiyo kutoka Zanzibar, Awadh Ali Said, akila kiapo mbele ya  Rais Jakaya Kikwete, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini leo. (Picha na Mdau Dotto Mwaibale)





Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akiteta jambo na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid wakati wa hafla hiyo. 


 Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akizungumza jambo na baadhi ya wageni waalikwa waliokuwepo katika hafla hiyo.




Rais Jakaya Kikwete (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Muungano na ya Zanzibar pamoja na wajumbe wa Tume hiyo, mara baada ya kuwaapisha Mwenyekiti na wajumbe wake.


No comments:

Post a Comment