TANGAZO


Friday, April 13, 2012

Jihad Hassan akabidhi Ofisi kwa Said Ali Mbarouk, Zanizbar


Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Abdillah Jihad Hassan (kushoto), akimkabidhi mafaili ya Ofisi, Wazira mpya wa Wizara hiyo, Said Ali Mbaruok, wakati wa hafla ya makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika, ukumbi wa VIP  wa Salama hall,  Bwawani, mjini Zanzibar leo. (Picha na Hamad Hija, Maelezo Zanzibar)


Waziri wa zamani wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Zanzibar, Abdillah Jihad Hassan,  ambaye kwa sasa ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akitoa maelezo juu ya kukabidhi Wizara hiyo, wakati wa hafla hiyo.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Zanzibar,  Said Ali Mbaruok, akizungumza baada ya kukabidhiwa rasmi Wizara hiyo na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Abdillah Jihad Hassan (kushoto), wakati wa hafla hiyo, Bwawani, mjini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment