Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Rais mstaafu wa Brazil, Luis Inancio Lula da Silva, alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo, April 16, 2012. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Francis Malambugi na wa pili kushoto ni Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Francisco Carlos Luz.
Tuesday, April 17, 2012
Rais Kikwete, akutana na Rais mstaafu wa Brazil, Lula Da Silva
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na na Rais mstaafu wa Brazil, Luis Inancio Lula da Silva, wakati walipokutana kwa mazungumzo, alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo, April 16, 2012. (Picha na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Rais mstaafu wa Brazil, Luis Inancio Lula da Silva, alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo, April 16, 2012. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Francis Malambugi na wa pili kushoto ni Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Francisco Carlos Luz.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Rais mstaafu wa Brazil, Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao, alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo April 16, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisindikizwa na Rais mstaafu wa Brazil, Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao, alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo April 16, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Rais mstaafu wa Brazil, Luis Inancio Lula da Silva, alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo, April 16, 2012. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Francis Malambugi na wa pili kushoto ni Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Francisco Carlos Luz.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment