TANGAZO


Tuesday, April 17, 2012

Rais Kikwete akutana na Maximo Brazil, amzawadia jezi

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa Stars, Marcio Maximo, akisalimiana na  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, alipokwenda kumsalimia Rais katika hoteli ya Tivoli jijini Sao Paulo leo. (Picha na Anna Nkinda – Sao Paul, Brazil)

 Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo, akimsalimu mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete, alipokwenda kuwasalimia  katika hoteli ya Tivoli jijini Sao Paulo.





Kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio, Maximo akimpa Rais Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya jezi ya timu yake anayoifundisha ya Democrata nchini Brazil, alipokwenda kumsalimia Rais katika hoteli ya Tivoli jijini Sao Paulo leo.

No comments:

Post a Comment