TANGAZO


Tuesday, April 17, 2012

Kifo cha Mutharika, Dk. Bilal asaini kitabu cha maombolezo ubalozini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Malawi, Dk. Bingu wa Mutharika, katika Ofisi za Ubalozi wa Malawi nchini, Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, Aprili 17, 2012. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Malawi, Dk. Bingu wa Mutharika, katika Ofisi za Ubalozi wa nchi hiyo, Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, Aprili 17, 2012. Kulia ni Balozi wa Malawi nchini, Flossie Asekanao Gomile-Chidyaonga.

No comments:

Post a Comment