TANGAZO


Wednesday, April 4, 2012

Rais Kikwete akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul Polman Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global, Paul Polman, Ikulu jijini Dar Es Salaam leo asubuhi. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)




  Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global, Paul Polman, Ikulu jijini Dar Es Salaam leo asubuhi.



Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global, Paul Polman Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment