TANGAZO


Thursday, April 5, 2012

Pinda akutana na Balozi wa Sudan nchini, ashuhudia utiaji wa saini mkataba wa umwagiliaji


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini, Dk. Yassir Mohamed Ali, kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dk.Yassir Mohamed Ali, ofisini kwake jijini Dar es Salaam Aprili 5, 2012.
 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza katika kikao cha  kutia saini mkataba wa makubaliano (MOU), kati ya Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Aprili 5,2012.
 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akishuhudia utiaji saini   wa Mkataba wa Makubaliano  (MOU), kati ya  Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India uliofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Aprili 5, 2012.Wanaotia saini ni Waziri wa  Kilimo na Maendeleo, Chakula  na Maendeleo ya Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jain, Atul Jain. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment