TANGAZO


Thursday, April 5, 2012

Benki ya AfDB, Kamati ya maandalizi mkutano wake, wasaini makubaliano

 Mkuu wa Itifaki wa Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa Ujumbe kutoka AfDB, nchini Tunisa, Antoinette Batumubwira (kushoto) na Kamishna wa Fedha za Nje, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitaifa wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano huo, Ngosha Magonya (kulia), wakisaini hati ya makubaliano leo, mjini Arusha kati ya AFDB na Wizara ya Fedha kuhusu  kutekeza mambo ya muhimu yatakayofanikisha mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi ujao mjini Arusha. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Arusha)




 Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa Ujumbe kutoka AfDB, nchini Tunisa, Antoinette Batumubwira (kushoto) na Kamishna wa Fedha za Nje, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitaifa wa Kamati ya Maandalizi ya mkutano huo, Ngosha Magonya, wakibadilishana  hati ya makubaliano baada ya kuisaini kati ya AFDB na Wizara ya Fedha kuhusu kutekeza mambo ya muhimu yatakayofanikisha mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaotarajiwa kufanyika mjini Arusha.




 Kamishna wa Fedha za Nje, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitaifa wa Kamati ya Maandalizi ya Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB), Ngosha Magonya, akiushukuru ujumbe wa AFDB kutoka nchini Tunisia, ukiongozwa na  Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa ujumbe huo, Antoinette Batumubwira (kushoto), kwa ushirikiano mzuri ambao wamekuwa wakiutoa kwa wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya maandalizi ya mkutano huo.



Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa Ujumbe kutoka AfDB, nchini Tunisa, Antoinette Batumubwira (kushoto), akisisitiza jambo leo, mjini Arusha  kwa lengo la kufanikisha Mkutano wa Benki ya Maendeleo. Kulia ni Kamishna wa Fedha za Nje, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitaifa wa Kamati ya Maandalizi ya mkutano huo, Ngosha  Magonya. 

No comments:

Post a Comment