TANGAZO


Thursday, April 5, 2012

Tamasha la Pasaka la muziki wa Kizazi kipya na taarab

Mkurugenzi wa taasisi ya Youth For Today Development Agency, inayoandaa tamasha la Pasaka, Josiah Malekani, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo ambalo litahusisha muziki wa Kizazi kipya na taarab litakalofanyika siku ya Jumapili, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. (Picha na Kassim Mbarouk)


Mwakilishi wa bendi ya Mapacha watatu, Ochestra Mweuka, akizungumza wakati wakati viongozi wa Taasisi ya Youth For Today Development Agency, walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha la Pasaka la muziki wa kizazi kipya na Tarab, litakalofanyika Jumapili, Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini. Katikati ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, inayoandaa tamasha hilo, Josiah Malekani.


Mwimbaji Masoud Namba ya Mwisho wa bendi ya Mashujaa Musica (kushoto), akiimba moja ya nyimbo za kundi hilo, wakati viongozi wa Taasisi ya Youth For Today Development Agency, walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha la Pasaka la muziki wa kizazi kipya na Tarab, litakalofanyika Jumapili, Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini. 


Mwimbaji Mwanahawa Ally aka Chipolopolo wa bendi ya King Modern Tarab, (kushoto), akiimba moja ya nyimbo za kundi hilo, wakati viongozi wa Taasisi ya Youth For Today Development Agency, walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha la Pasaka la muziki wa kizazi kipya na Tarab, litakalofanyika Jumapili, Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini. (Picha na Kassim Mbarouk) 


Rais na Mwimbaji wa bendi ya King Modern Tarab, Young Hassan Any (kushoto), akitoa kionjo cha moja ya nyimbo za kundi hilo, wakati viongozi wa Taasisi ya Youth For Today Development Agency, walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha la Pasaka la muziki wa kizazi kipya na Tarab, litakalofanyika Jumapili, Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini. (Picha na Kassim Mbarouk) 


Waandishi wa habari wakiuliza maswali na kufuatilia kwa makini maelezo na ufafanuzi kuhusu tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment