Wananchi wakiuangalia mwili wa mtu aliyekutwa amekufa katika shamba la Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Wanamaji, Kigamboni, jijini Dar es Salaam leo Aprili 24, 2012. (PIcha na Khamis Mussa) |
Askari wa JWTZ, akisaidiana na Askari Kanzu, kuuchukua mwili wa marehemu huyo, tayari kwa kuuingiza kwenye gari la Polisi na kuupeleka kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Wananchi wakiwa wameuzunguka kwa ajili ya kuutambua mwili wa marehemu huyo, kabla ya kuingizwa kwenye gari la Polisi kwa ajili ya kuupeleka hospitali, kuuhifadhi leo Aprili 24, 2012.
Askari Kanzu wakiuingiza kwenye gari la Polisi mwili wa marehemu huyo kwa ajili ya kuupeleka hospitali kuuhifadhi.
No comments:
Post a Comment