TANGAZO


Tuesday, April 24, 2012

NHC yazindua uuzaji nyumba za mradi wa Mchikichini, Dar es Salaam

 Mkurugenzi wa Uendeshaji Biasha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, Aprili 24, 2012 wakati alipokuwa akizindua mauzo ya nyumba za mradi wa Mchikichini, Ilala jijini. Kulia ni Meneja Masoko, William Genya. (Picha na Kassim Mbarouk)




 Baadhi ya wapiga picha wa vyombo vya habari, wakichukua picha za uzinduzi huo, leo Aprili 24, 2012. 




 Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, wakiandika taarifa zilizokuwa zikitolewa na Uongozi wa NHC, kwenye uzinduzi huo, leo Aprili 24, 2012, jijini Dar es Salaam.




Mkurugenzi wa Uendeshaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe, akizungumza na waandishi wa habari leo, wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba za mradi wa Mchikichini, Ilala jijini. Kushoto ni Meneja Masoko na Utafiti (NHC), Itandula Gambalagi na kulia ni Meneja Masoko, William Genya.

No comments:

Post a Comment