TANGAZO


Tuesday, April 24, 2012

Lipumba, alonga na waandishi, uvunjwaji vibanda vya biashara Tandahimba


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, Aprili 24, 2012, kuhusu kuitaka Serikali kuwalipa fidia wananchi wa Tandahimba waliovunjiwa vibanda vyao vya biashara katika vurugu zilizozuka hivi karibuni. Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Uenezi na Uhusiano wa Umma wa CUF, Abdul Kambaya. (Picha na Kassim Mbarouk)


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu kuitaka Serikali kuwalipa fidia wananchi wa Tandahimba waliovunjiwa vibanda vyao vya biashara na aliodai kuwa ni jeshi la Polisi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CUF, Hamis Hassan.




Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kuitaka Serikali kuwalipa fidia wananchi wa Tandahimba waliovunjiwa vibanda vyao vya biashara. Katikati ni Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CUF, Hamis Hassan na Mwenyekiti wa CUF, Wilaya ya Tandahimba, Katani Ahmad Katani.





Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, kwa hasira Dar es Salaam leo, Aprili 24, 2012, alipokuwa akiitaka Serikali kuwalipa fidia wananchi wa Tandahimba waliovunjiwa vibanda vyao vya biashara katika vurugu zilizozuka hivi karibuni. Katikati ni Naibu Mkurugenzi wa Uenezi na Uhusiano wa Umma wa CUF, Abdul Kambaya na Mkurugenzi wa Oganizesheni, Uchaguzi na Mambo ya Siasa, Shaweji Mketo. 





Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akimbeba mtoto, aliyekuwepo nje ya ukumbi wa mikutano wa CUF, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, kuhusu kuitaka Serikali kulipa fidia wafanyabiashara waliovunjiwa vibanda vyao vya biashara, Tandahimba. 

No comments:

Post a Comment