Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu', akikabidhiwa risala na kijana mmoja wa yatima wanaolelewa na Taasisi ya Africa Muslim Agency, wakati Mbunge huyo, alipofika kwenye soko la Buguruni Dar es Salaam leo kujumuika na vijana hao kulifanyia usafi soko hilo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mmoja wa viongozi wa soko la Buguruni, akitoa maelezo kwa Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu' (kushoto), wakati alipofika kwenye soko hilo kwa ajili ya kufanya usafi akishirikiana na yatima wanaolelewa na taasisi ya Africa Muslim Agency, Dar es Salaam leo, asubuhi. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa taasisi hiyo, Bentaleb Mohammed.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu' (kushoto), akizungumza kabla ya kuanza usafi wa soko la Buguruni kwa kushirikiana na yatima wanaolelewa na taasisi ya Africa Muslim Agency, Dar es Salaam leo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu' (kushoto), akifanya usafi wa soko la Buguruni kwa kushirikiana na yatima wanaolelewa na Taasisi ya Africa Muslim Agency, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa taasisi hiyo, Bentaleb Mohammed.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu' (kushoto), akifanya usafi wa soko la Buguruni na yatima wanaolelewa na Taasisi ya Africa Muslim Agency, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment