Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, ambaye hivi sasa ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Miujiza, Uponyaji, Kufunguliwa na Mafanikio, Kilontsi Mporogomyi (kulia), akicheza bao na Jumanne Mang'oli wakati wa mashindano ya mchezo huo katika kuadhimisha miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo, kwenye Jumba la Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Mporogomyi alishinda. Katikati ni Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata), Monday Likwepa. (Picha na Khamis Mussa)
Baadhi ya washiriki wa Vikundi mbalimbali vya wazee na vijana, wakiwa kwenye mashindano hayo ya bao.
No comments:
Post a Comment