Mwakilishi wa wanawake na maendeleo ya vijana ajira kwa wachezaji wa Shirikisho la Ngumi Tanzania BFT. Zuwena Kibena ' Mama Kanali Kipingu' (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na mabondia. (Picha na Super D, Mnyamwezi)
Mwakilishi wa Wanawake na Maendeleo ya Vijana, Ajira kwa wachezaji wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Zuwena Kibena ' Mama Kanari Kipingu', akikabidhi pesa kwa ajili ya kununulia maji kwa Nahodha wa timu ya Taifa ya Masumbwi, Selemani Kidunda. Wengine pichani ni wachezaji wa timu hiyo.
Mama Kipingu, akizungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Masumbwi alipotembelea kambi ya timu hiyo Kibaha Mkuza mkoani Pwani jana.
No comments:
Post a Comment