Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto), akimweleza jambo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, mara alipofika kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma leo. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma kwa lengo la kujitambulisha kwa baadhi ya viongozi wa Bunge. (Picha na Owen David, Dodoma)
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akifafanua jambo kwa Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, walipokutana Ofisini kwa Naibu Spika Bungeni, mjini Dodoma.
Naibu Spika, Job Ndugai \9kushoto), akimuaga mgeni wake mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao leo, mjini humo.
No comments:
Post a Comment