Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akipanda mti leo Aprili 01, 2012, nyumbani kwake, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya upandaji miti inayoadhimishwa nchini kote, kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal, akiutililia maji mti alioupanda leo Aprili 01, 2012, nyumbani kwake, ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya upandaji miti nchini.
No comments:
Post a Comment