Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Kiwenge akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye aliufungua mkutano wa wadau wa mfuko huo, mjini Kibaha leo. |
Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa mfuko huo, Grace Michael akiratibu
mkutano wa wadau wa NHIF Mkoa wa Pwani leo, mjini Kibaha.
Baadhi ya wadau wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza na viongozi wa NHIF.
Wanahabari wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa NHIF pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mahiza
Mahiza akizungumza na wanahabari baada ya kufungua mkutano huo
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF, Eugen Mkongoti akielezea jinsi wadau
wa mfuko huo na hasa wanachama wanavyonufaika na mfuko huo na ule wa
Mfuko wa Afya ya Jamii.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa NHIF, Beatus akiwahamasisha wadau kujiunga na mfuko huo ili wanufaike nao.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiagana na Mkurugenzi wa NHIF, Humba. Kushoto ni Grace Michael ambaye ni Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa mfuko huo.
No comments:
Post a Comment